Team kibakuli mna shida sana, aliecopy nyimbo yake imeondolewa youtube huko ahahahaaah , kwa akili zenu Ata watu wakifanana mashati mtasema amecopyWadau wa mziki wanadai pale Wcb hakuna ubunifu
Diamond anasikiliza nyimbo za kinaijeria ili afanye remix
Director kenny anaangalia video za wengine ili afanye remix
Reyza anasikiliza beat za wengine ili azifanyie remix
WCB = WE COPY THE BEST
Hii ni Aibu huyu sadala analitia aibu taifa kwa style hii tuzo atazikia tu kwa radio na tvView attachment 1834949View attachment 1834950View attachment 1834951
Anazo nyingine alishaibagaKasoro tu tuzo ndo imemshinda kuiba
Mkuu tuweke u timu pembeni hali ni mbaya sana kwenye fani kuhusu kuiga. Hakuna kitu naija wanaiga bongo fleva kuanzia audio hadi chupa. Kama kipo anzisha uzi. Sie kila kukicha kuiga tu mara naija mara sauzi!Kwani kuna style gani nyingine ya kulala tofaut na hzo
Wadau wa mziki wanadai pale Wcb hakuna ubunifu
Diamond anasikiliza nyimbo za kinaijeria ili afanye remix
Director kenny anaangalia video za wengine ili afanye remix
Reyza anasikiliza beat za wengine ili azifanyie remix
WCB = WE COPY THE BEST
Hii ni Aibu huyu sadala analitia aibu taifa kwa style hii tuzo atazikia tu kwa radio na tvView attachment 1834949View attachment 1834950View attachment 1834951
Killi music awards?Anazo nyingine alishaibaga
Huyo hakopigi kwa mujibu wa Robidinho, hiyo ya juu ni Tanzania ya chini ni Nigeria ila msanii wa Tz.
Matako ya we juu aka kifudifudiKwani kuna style gani nyingine ya kulala tofaut na hzo