Sadala (Diamond) ka-copy tena jamani

Copy zingine zinatia kinyaa,
Lavalava kwenye wimbo wake wa gundu,amekopy kila kitu kutoka kwenye wimbo wa jidena Bambi.hizi ni kopy zenye kufuru,
Diamond wa Mbagala,moyo wangu,kidogo dogo,nakukumbuka,Nitarejea,hayupo Tena huyu wa sasa hv kama anacopy hv,anatia kinyaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…