SN.BARRY
JF-Expert Member
- Oct 12, 2012
- 4,038
- 8,929
Mmefuga magaidi kwa miaka 4 mnajishauri tu bila kuchukua maamuzi ya kijeshi.
Rwanda wamefanya uamuzi ndani ya wiki 3 wamekomboa miji kadhaa na msako unaendelea huko misituni.
Tanzania tuliwafuga magaidi Kibiti hadi walipoleta madhara ndio tukaamka.
Magaidi wapo Msumbiji na Tanzania kikubwa maamuzi ya haraka yachukuliwe kuwafyeka.
Tukicheka na magaidi tutavuna mabua. Congo na Africa ya kati nao wanalia, magaidi wamejiimarisha balaa