Magaidi wengine si wako mahakamani akina Mbowe? au unazungumzia magaidi wa aina gani?Mmefuga magaidi kwa miaka 4 mnajishauri tu bila kuchukua maamuzi ya kijeshi.
Rwanda wamefanya uamuzi ndani ya wiki 3 wamekomboa miji kadhaa na msako unaendelea huko misituni.
Tanzania tuliwafuga magaidi Kibiti hadi walipoleta madhara ndio tukaamka.
Magaidi wapo Msumbiji na Tanzania kikubwa maamuzi ya haraka yachukuliwe kuwafyeka.
Tukicheka na magaidi tutavuna mabua. Congo na Africa ya kati nao wanalia, magaidi wamejiimarisha balaa
Msumbiji hakuna magaidi. Ni siasa chafu za Nyusi kutaka kuwatakwa wanamsumbiji kama misukule kwa kisingizio cha amani na utulivu.Msumbiji linchi likubwa linashindwa kukabiliana na Magaidi.
Rwanda kawafyeka kwa wiki tatu tu.
Msumbiji wamebaki kuimba tu nyimbo za ukombozi wa Msumbiji
Hamza bana,sio wa mchezo yule jamaa.Msumbiji hakuna magaidi. Ni siasa chafu za Nyusi kutaka kuwatakwa wanamsumbiji kama misukule kwa kisingizio cha amani na utulivu.
Rwanda hawana uwezo wa kupamabana na magaidi.
Msumbiji haikuwa willing kuruhusu SADC kuchukua hatua I think so. Tukumbuke ni nchi huru. Na haya mambo yanachangikiwa na mambo mengine mengi nyuma ya pazia yasiyojulikana wazi wazi.Mmefuga magaidi kwa miaka 4 mnajishauri tu bila kuchukua maamuzi ya kijeshi.
Rwanda wamefanya uamuzi ndani ya wiki 3 wamekomboa miji kadhaa na msako unaendelea huko misituni.
Tanzania tuliwafuga magaidi Kibiti hadi walipoleta madhara ndio tukaamka.
Magaidi wapo Msumbiji na Tanzania kikubwa maamuzi ya haraka yachukuliwe kuwafyeka.
Tukicheka na magaidi tutavuna mabua. Congo na Africa ya kati nao wanalia, magaidi wamejiimarisha balaa
Kweli. Wangekuwa na uwezo wangeenda Somalia wakawafute al shababRwanda hawana uwezo wa kupamabana na magaidi.
Askari wa Rwanda ni wazoefu kwenye oparesheni za msituni na pia wako kwenye mishe za kulinda aman sehemu nyingi duniani.Mmefuga magaidi kwa miaka 4 mnajishauri tu bila kuchukua maamuzi ya kijeshi.
Rwanda wamefanya uamuzi ndani ya wiki 3 wamekomboa miji kadhaa na msako unaendelea huko misituni.
Tanzania tuliwafuga magaidi Kibiti hadi walipoleta madhara ndio tukaamka.
Magaidi wapo Msumbiji na Tanzania kikubwa maamuzi ya haraka yachukuliwe kuwafyeka.
Tukicheka na magaidi tutavuna mabua. Congo na Africa ya kati nao wanalia, magaidi wamejiimarisha balaa
Naona jeshi la Msumbiji halina vifaa,morali iko chini, discipline iko chini Sana(hawana support ya locals).Msumbiji iliwakodisha hadi mercenaries kutoka Urusi,Ureno lkn wakakimbia mziki wa hao waitwao magaidi.Na magaidi yakaendelea kutamba tu.Nimeshangazwa sana kuona askari wa Msumbiji wakiongozwa na Rwanda kwenye mapambano, Jeshi la Frelimo? limemomonyoka hivyo
Dah Ila we jamaa.Askari wa Rwanda ni wazoefu kwenye oparesheni za msituni na pia wako kwenye mishe za kulinda aman sehemu nyingi duniani.
Askari wa bongo mkiwapeleka huko kwenye oparesheni wenye watoto na wake wanaanza kulia Lia eti mnaenda kuua watoto wao.
Sasa sijui walijiunga jeshini kwa Kazi gani
ππππ Kwamba masela wanaiba karafuuhamna magaidi hapa ni kutaka kututawala zaidi ,Yaani watusahaulishe juu ya madai ya Tume Huru na Katiba mpya.
TUME MPYA YA UCHAGUZI ili kuondoa magaidi aka teroristi ,wanavamia watu usiku na kuwaibia karafuu .
M23 ulikuwa wapi? Wakati wa Jakaya Kikwete hadhi ya Jeshi la Wananchi ilirudi kwa kasi ya ajabuAskari wa bongo mkiwapeleka huko kwenye oparesheni wenye watoto na wake wanaanza kulia Lia eti mnaenda kuua watoto wao.
Msumbiji walishindwa Ile mbinu ya KUMKOMA NYANI GLADI!Mkuu kufanya operation kwenye nchi ya mtu unahitaji mwaliko.... Huwezi kwenda tu kama chooni kwako