SADC yaiandikia barua Jumuiya ya ECOWAS kumuunga mkono Mgombea wa Madagascar na sio wa Kenya (Raila).

SADC yaiandikia barua Jumuiya ya ECOWAS kumuunga mkono Mgombea wa Madagascar na sio wa Kenya (Raila).

Freed Freed

JF-Expert Member
Joined
Jun 27, 2017
Posts
6,547
Reaction score
7,167
Naona Raila hana bahati.

SADC yamruka na kumuunga mkono mgombea kutoka Madagascar na imeiomba jumuiya Africa Magharibi kufanya hivyo pia.
 
Sasa sababu ni nini, hawa Sadc nao ni wanafiki tu kama kawaida. Bure kabisa.
 
Huo uchaguzi anayepiga kura si ni raisi wa nchi,SADC kama taasisi inakuaje kutoa matamko ya kuunga mkono mtu Fulani?
 
Back
Top Bottom