Congo hawapo serious, wacha iwe annexed tu.
Ni sawa na Kenya (ambayo ina Masai) itumie Masai wa Tanzania kuchezea maeneo ambayo ni vitega uchumi wa nchi (hifadhi za wanyama pori).
Au Chinga wa Msumbiji wahatarishe uwekezaji wa Gas Lindi na Ntwara.
Ukiacha wa kazi wa East Congo kuwa na asili ya nchi kadhaa ikiwamo Tanzania; strategically kwa Congo hiyo region ni muhimu mno for national security yao.
60% ya cobalt duniani reserve inadaiwa hiko hapo; bado rare earth mineral ambazo luluki. Dunia ya leo ambayo inakuwa digitised hizo mineral ni precious commodity katika uchumi wa nchi yeyote duniani (rare earth mineral ndio kila kitu)..
Sasa wewe eneo ambalo lina kitega uchumi muhimu kwa mapato ya nchi yako na unaweza tumia kama bargaining chip kwenye majadiliano ya kimataifa. Ulinzi wake imara.
Unajua Congo ikisema inazuia export za rare mineral ni sawa na Saudi Arabia waseme wanakata supply ya mafuta. Kesho tu bei ya rare earth mineral inapanda bei na wazungu lazima watafute sababu ya kwenda kumtandiika Tshekedi waweke mwingine atakae wauzia.
Sasa why on earth hilo eneo serikali ya Congo ulinzi wake inalifanyia mzaha hakuna strong military presence.
Upuuzi wa Congo ni too much wacha Kagame sijui Museveni watafute mbinu za ku-annex tu( useless Congolese they are not serious people.