johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Dawa wamtoe huyo ngongoti ndio source ya mattizo yote ukanda huoBila kuangusha mnazi hakuna watakachofanikiwa
Kwa kipi chamaana alichofanya vitani?
Wanakwepa solution wanakazi ya kuzungukazunguka. One has to be sucrifised kuleta peace ya kudumu ukanda huu wa maziwa makuu.Kila siku vikao vikao akati kagame mnamuona, na kila siku anajibu mipasho
Fanyeni maamuzi magumu.
Ngoma ngumu watu wako serious na kufanya,kuamua mambo yao
Wamebakia kukata uno, uchawa kujichubua tuCongo hawapo serious, wacha iwe annexed tu.
Ni sawa na Kenya (ambayo ina Masai) itumie Masai wa Tanzania kuchezea maeneo ambayo ni vitega uchumi wa nchi (hifadhi za wanyama pori).
Au Chinga wa Msumbiji wahatarishe uwekezaji wa Gas Lindi na Ntwara.
Ukiacha wa kazi wa East Congo kuwa na asili ya nchi kadhaa ikiwamo Tanzania; strategically kwa Congo hiyo region ni muhimu mno for national security yao.
60% ya cobalt duniani reserve inadaiwa hiko hapo; bado rare earth mineral ambazo luluki. Dunia ya leo ambayo inakuwa digitised hizo mineral ni precious commodity katika uchumi wa nchi yeyote duniani (rare earth mineral ndio kila kitu)..
Sasa wewe eneo ambalo lina kitega uchumi muhimu kwa mapato ya nchi yako na unaweza tumia kama bargaining chip kwenye majadiliano ya kimataifa. Ulinzi wake imara.
Unajua Congo ikisema inazuia export za rare mineral ni sawa na Saudi Arabia waseme wanakata supply ya mafuta. Kesho tu bei ya rare earth mineral inapanda bei na wazungu lazima watafute sababu ya kwenda kumtandiika Tshekedi waweke mwingine atakae wauzia.
Sasa why on earth hilo eneo serikali ya Congo ulinzi wake inalifanyia mzaha hakuna strong military presence.
Upuuzi wa Congo ni too much wacha Kagame sijui Museveni watafute mbinu za ku-annex tu( useless Congolese they are not serious people.
Waulize SADC wanaomkalia vikao lukuki.Kwa kipi chamaana alichofanya vitani?
Shida sio Kagame wala Museveni; shida ni wa-Congo wenyewe. Hawapo serious na vitega uchumi wao.Wanakwepa solution wanakazi ya kuzungukazunguka. One has to be sucrifised kuleta peace ya kudumu ukanda huu wa maziwa makuu.
#Nani wa kumfunga nyau kengele!!!
Ni useless peopleWamebakia kukata uno, uchawa kujichubua tu
Na kuna nchi moja inaelekea kuwa kama kongo nayo
Ova
Machafuko ni mwanya wa kimkakati ili biashara haramu ya madini iwe endelevu. Huenda pia kuna baadhi ya viongozi wa serikali ya Congo wanahusika ndio maana unaona hawako serious. Huenda siyo Kagame pekee kuna wengine. FBME bank ilifanya sana biashara haramu ya madini hapo mpaka Marekani ilipoipiga ripiti.Congo hawapo serious, wacha iwe annexed tu.
Ni sawa na Kenya (ambayo ina Masai) itumie Masai wa Tanzania kuchezea maeneo ambayo ni vitega uchumi wa nchi (hifadhi za wanyama pori).
Au Chinga wa Msumbiji wahatarishe uwekezaji wa Gas Lindi na Ntwara.
Ukiacha wa kazi wa East Congo kuwa na asili ya nchi kadhaa ikiwamo Tanzania; strategically kwa Congo hiyo region ni muhimu mno for national security yao.
60% ya cobalt duniani reserve inadaiwa hiko hapo; bado rare earth mineral ambazo luluki. Dunia ya leo ambayo inakuwa digitised hizo mineral ni precious commodity katika uchumi wa nchi yeyote duniani (rare earth mineral ndio kila kitu)..
Sasa wewe eneo ambalo lina kitega uchumi muhimu kwa mapato ya nchi yako na unaweza tumia kama bargaining chip kwenye majadiliano ya kimataifa. Ulinzi wake imara.
Unajua Congo ikisema inazuia export za rare mineral ni sawa na Saudi Arabia waseme wanakata supply ya mafuta. Kesho tu bei ya rare earth mineral inapanda bei na wazungu lazima watafute sababu ya kwenda kumtandiika Tshekedi waweke mwingine atakae wauzia.
Sasa why on earth hilo eneo serikali ya Congo ulinzi wake inalifanyia mzaha hakuna strong military presence.
Upuuzi wa Congo ni too much wacha Kagame sijui Museveni watafute mbinu za ku-annex tu( useless Congolese they are not serious people.
Makes sense, serikali makini haiwezi chukulia poa region muhimu kwa mapato ya taifa.Machafuko ni mwanya wa kimkakati ili biashara haramu ya madini iwe endelevu. Huenda pia kuna baadhi ya viongozi wa serikali ya Congo wanahusika ndio maana unaona hawako serious. Huenda siyo Kagame pekee kuna wengine. FBME bank ilifanya sana biashara haramu ya madini hapo mpaka Marekani ilipoipiga ripiti.