SADC yapongeza mchango wa Tanzania nchini DR Congo

SADC yapongeza mchango wa Tanzania nchini DR Congo

Getrude Mollel

JF-Expert Member
Joined
Apr 26, 2022
Posts
270
Reaction score
362
Katika mkutano wa 42 wa nchi za SADC unaoendelea huko DRC ambapo nchi mwenyeji DRC kupitia Rais wake Felix Tshesekedi amehutubia mkutano huo na bila kificho wala hiyana aliamua kutoa kongole zake za dhati kutoka kwenye mtima wa moyo wake kwa Tanzania kufuatia mchango wake mkubwa anaotoa katika kupigana na waasi huko Mashariki mwa DRC, Kivu na kuendelea kudumisha amani katika nchi hiyo.

Rais Felix Tshikesedi alitoa pia shukrani zake kwa nchi ya Malawi pamoja na Afrika Kusini.
 
Sasa M23, jeshi la Kagame limeingia huko DRC.
Inabidi ifanyike kweli!
 
Back
Top Bottom