Sadcasm & sarcasm special thread

Hii inanitokeaga kwenye Listening... kwamba unagundua hausikilizi unafocus kusikiliza wakat unafocus kusikiliza still hausikilizi maana umekazana kutafuta njia ya kusikiliza una endup not listening 😂
Hahah hata kwenye kusoma unaweza ukajikuta unarudia paragraph moja mara mia
 
[emoji23][emoji23][emoji23] [emoji1430]newton alikuwa baharia
Hawa watu wa zamani hatari yaan mtu hawezi kuandika sentence moja mpaka azunguke.Kuna moja ya Shakespeare ngoja niishushe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…