Saddest movies I've ever seen. Whatโ€™s yours?

Mm napenda horror movies ila sio hizo za kuchinjana na kuuana hovyo, Hua Naona n ujinga ujinga.
Napenda zile za supernatural kama the nun, conjuring, evil dead Za nyngn Za namna hizo
 
Mm napenda horror movies ila sio hizo za kuchinjana na kuuana hovyo, Hua Naona n ujinga ujinga.
Napenda zile za supernatural kama the nun, conjuring, evil dead Za nyngn Za namna hizo
Hizi za vitu supernatural nazo ni nzuri ila The Nun na The Conjuring hata sikuzielewa ๐Ÿ˜๐Ÿ˜
Happ Evil Dead Rise ndio niliikubali ๐Ÿ’ฏ
 
1. Terry McMillan Presents: Forever 2024
2. The Forge 2024
3. John Q
4. The stonning of Soraya
 
Hiyo no. 5 nilisikia Mtu humu JF ety aliichek mpaka akalia, nikasema Ngoja nikaichek ๐Ÿ˜‚ nkaishia kucheka tuu.

Movie ya kawaida mno
Kuna movie zinatia huzuni.
Angalia mystic rivers, prisoners, pursuit of happiness, heretic, memento,
 
Furahini Katika Bwana
Raha jipe mwenyewe
Haja gani ya kuwa na huzuni
Maisha yanavingi unahitaji
Kujifariji kusonga mbele
Cheka , furahi ongeza siku za kuishi
 
Straw imeniliza mtu mzima Mimi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ