Sadick popote ulipo nakutafuta, tulikutana kupitia Radio Five-Arusha

Sadick popote ulipo nakutafuta, tulikutana kupitia Radio Five-Arusha

wewe umetumia ubunifu mkubwa wa kutafuta mchumba na hilo jina la kufikirika la sadiki. Nadhani mpaka jioni utapata inbox nyingi za faraja maana umedhihirisha bado ni "un accupied" kila la heri
Ahsante lkn ni kweli namtafuta rfk yangu sadick na sio kua et nimezuga kumbe natafuta mchumba hpn ningetafuta mwenza ninge andika khs mwenza na sio kupindisha pindisha kwani hakuna anae nizuia
 
Ase kitambo kweli ni PM ndie mm sadick
 
Du umefanya jema kweli nipo ruvuma kwa sasa kule mbeya nilihamishwa 2013 mwez wa saba palitokea tafrani tukahamishwa baadhi za masiku rafiki
 
Back
Top Bottom