Pierina Vicka
Senior Member
- Mar 18, 2017
- 173
- 290
Sio kiivoVyuma vimekaza mpaka watu wanawakumbuka waliosahaulika.
[emoji23] [emoji23] [emoji23]wewe umetumia ubunifu mkubwa wa kutafuta mchumba na hilo jina la kufikirika la sadiki. Nadhani mpaka jioni utapata inbox nyingi za faraja maana umedhihirisha bado ni "un accupied" kila la heri
Ahsante lkn ni kweli namtafuta rfk yangu sadick na sio kua et nimezuga kumbe natafuta mchumba hpn ningetafuta mwenza ninge andika khs mwenza na sio kupindisha pindisha kwani hakuna anae nizuiawewe umetumia ubunifu mkubwa wa kutafuta mchumba na hilo jina la kufikirika la sadiki. Nadhani mpaka jioni utapata inbox nyingi za faraja maana umedhihirisha bado ni "un accupied" kila la heri
Nashukuru mkuuKila lakheri
Ckua na mahusiano nae ni rfk tu ndo najarb kumtafuta km yupo hai tutaonana maana milima haikutan ila binadamu hukutanaNjoo pm mama achana na zilipendwa huyo
Kuanzia leo ntaitwa saDICK mama so usijaliCkua na mahusiano nae ni rfk tu ndo najarb kumtafuta km yupo hai tutaonana maana milima haikutan ila binadamu hukutana