Linguistic
JF-Expert Member
- Mar 16, 2021
- 3,669
- 8,268
Wakuu Hii tuzo wamemnyima tu Sadie Mane lakini ndiye alistahili.
Timu Bora ya mwaka wameipa Man City, lakini ni Liverpool au Real Madrid ndio walistahili.
Mawazo yangu hayo yamebeba tafsiri ya matukio ya 2021/22
Sadie Mane;
Amechukua Club bingwa ya Dunia.
Amechukua AFCON 2022.
Amewezesha Senegal kufuzu World Cup Kwa kuitoa timu kali Egypt.
Amefunga na assists za magoli ya maana kwa Club na Taifa kufanikiwa.
Liverpool imekosa point 1 kuwa bingwa EPL ligi Bora
Liverpool bingwa FA, EFL.
Liverpool imecheza Fainali UEFA Champs.
Sifa hizo za Mane na timu zake, Karim hasogelei!!
Timu bora;
Liverpool imecheza Fainali ya Mashindano yote iliyoshiriki 2021/22..
Mshindi wa pili EPL.
Finalist UEFA Champs.
Bingwa EFL, FA.
Club Bingwa Dunia 2021/22
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app