koboG
JF-Expert Member
- Apr 3, 2016
- 2,763
- 5,167
Noma haya ndo maneno sasamaneno mengi mtu unaweza usiaminike sana na wadau,ngoja inyeshe nakuhakikishia Simba hii akuna mahala panapovuja.bati msauzi og,paa la kisasa full gepsam bord. yani Simba imeng'aa mpaka nahisi kuumwa.