G granitized JF-Expert Member Joined Jul 5, 2016 Posts 4,869 Reaction score 11,356 Jul 11, 2026 #21 Saint Anne said: Huku kwetu Kuna mchezaji analazimishwa asistaafu wakati hakuna chochote alichoichangia timu yake ya taifa zaidi ya kuididimiza na kuzibia rizki vijana damu changa wapate nafasi. Click to expand... sema mbwana samatta acha uoga
Saint Anne said: Huku kwetu Kuna mchezaji analazimishwa asistaafu wakati hakuna chochote alichoichangia timu yake ya taifa zaidi ya kuididimiza na kuzibia rizki vijana damu changa wapate nafasi. Click to expand... sema mbwana samatta acha uoga
Saint Anne JF-Expert Member Joined Aug 19, 2018 Posts 78,950 Reaction score 236,667 Jul 11, 2026 #22 granitized said: sema mbwana samatta acha uoga Click to expand... Sijataja mtu
G granitized JF-Expert Member Joined Jul 5, 2016 Posts 4,869 Reaction score 11,356 Jul 11, 2026 #23 Saint Anne said: Sijataja mtu Click to expand... uoga huo, ukienda chuga ukaambiwa ukatize msitu wa mbogo alone kwa mguu utathubutu wewe?
Saint Anne said: Sijataja mtu Click to expand... uoga huo, ukienda chuga ukaambiwa ukatize msitu wa mbogo alone kwa mguu utathubutu wewe?
Morocco forever JF-Expert Member Joined Sep 10, 2016 Posts 7,121 Reaction score 6,879 Jul 11, 2026 #24 moudgulf said: Ametangaza kustaafu lakini itafika siku ataghaili kwa muda ili atumikie taifa. Mi namtarijia kurudi kikosini muda sahihi ukifika. Hata Messi alistaafu lakini tunamuona anapigania nchi yake. Click to expand... Bora aachane na mpira akajikite kwenye ibada, ajenge misikiti n.k
moudgulf said: Ametangaza kustaafu lakini itafika siku ataghaili kwa muda ili atumikie taifa. Mi namtarijia kurudi kikosini muda sahihi ukifika. Hata Messi alistaafu lakini tunamuona anapigania nchi yake. Click to expand... Bora aachane na mpira akajikite kwenye ibada, ajenge misikiti n.k
Mnachihanguuu JF-Expert Member Joined Feb 10, 2023 Posts 6,406 Reaction score 9,830 Jul 11, 2026 #25 Morocco forever said: Bora aachane na mpira akajikite kwenye ibada, ajenge misikiti n.k Click to expand... Kwani hakuna misikiti?
Morocco forever said: Bora aachane na mpira akajikite kwenye ibada, ajenge misikiti n.k Click to expand... Kwani hakuna misikiti?