Sadio Mane Mchezaji Bora CAF 2022

Sadio Mane Mchezaji Bora CAF 2022

makaveli10

JF-Expert Member
Joined
Mar 27, 2013
Posts
31,583
Reaction score
92,670
Leo ndio leo, tuzo za CAF zinatolewa, wazee tupeane updates.

Mzigo utakuwa live kwenye channel ya CAF ya YouTube

Kocha bora wa mwaka(wanaume)
Aliou cisse 🇸🇳

Timu bora ya taifa ya wanaume ni SENEGALI 🇸🇳

Mchezaji bora chipukizi wa kiume
Pape matar sarr 🇸🇳
Tottenham

Mchezaji bora chipukizi wa kike
Evelyn badu 🇬🇭

Goli bora la mwaka
Pape ousmame sakho 🇸🇳
Simba 🦁 sc

Mchezaji bora wa kike ngazi ya klabu
Evelyn badu 🇬🇭

Mchezaji bora wa kike
Asisat oshoala 🇳🇬
Barcelona

Klabu bora wanaume
Wydad casablanca 🇲🇦

Mchezaji bora wa kiume ngazi ya klabu
Mohamed el shenawy 🇪🇬
Al ahly

Kocha bora wanawake
Desiree ellis 🇿🇦

Klabu bora wanawake
Mamelodi sundowns ladies 🇿🇦
======================



Mshambuliaji wa Simba, Pape Ousmane Sakho amefanikiwa kushinda Tuzo ya Goli Bora la Mwaka katika Tuzo za Shirikisho la Soka la Afrika (CAF), Julai 21, 2022.

Tuzo hizo zimetolewa Rabat Nchini Morocco ambapo Sakho alikuwa akiwania nafasi hiyo dhidi ya Gabadinho Mhango wa Orlando Pirates na Zouhair El Moutaraji wa Wydad Athletic Club.

#Sakho alilifunga bao hilo wakati #Simba ikishinda 3-1 dhidi ya ASEC Mimosas mchezo wa Hatua ya Makundi ya Kombe la Shirikisho Afrika kwenye Uwanja wa Mkapa Jijini Dar es Salaam, Februari 13, 2022.
294967997_390074079782126_8887536055435439227_n.jpg


294959553_1195131754619905_15022392751757237_n.jpg


 
Hongera zake. Ila angekuwa MTANZANIA, ingenoga zaidi…!!! Hapa ni kama watanzania tunaishangilia Senegal
 
Back
Top Bottom