Leo ndio leo, tuzo za CAF zinatolewa, wazee tupeane updates.
Mzigo utakuwa live kwenye channel ya CAF ya YouTube
Kocha bora wa mwaka(wanaume)
Aliou cisse πΈπ³
Timu bora ya taifa ya wanaume ni SENEGALI πΈπ³
Mchezaji bora chipukizi wa kiume
Pape matar sarr πΈπ³
Tottenham
Mchezaji bora chipukizi wa kike
Evelyn badu π¬π
Goli bora la mwaka
Pape ousmame sakho πΈπ³
Simba π¦ sc
Mchezaji bora wa kike ngazi ya klabu
Evelyn badu π¬π
Mchezaji bora wa kike
Asisat oshoala π³π¬
Barcelona
Klabu bora wanaume
Wydad casablanca π²π¦
Mchezaji bora wa kiume ngazi ya klabu
Mohamed el shenawy πͺπ¬
Al ahly
Kocha bora wanawake
Desiree ellis πΏπ¦
Klabu bora wanawake
Mamelodi sundowns ladies πΏπ¦
======================
Mshambuliaji wa Simba, Pape Ousmane Sakho amefanikiwa kushinda Tuzo ya Goli Bora la Mwaka katika Tuzo za Shirikisho la Soka la Afrika (CAF), Julai 21, 2022.
Tuzo hizo zimetolewa Rabat Nchini Morocco ambapo Sakho alikuwa akiwania nafasi hiyo dhidi ya Gabadinho Mhango wa Orlando Pirates na Zouhair El Moutaraji wa Wydad Athletic Club.
#Sakho alilifunga bao hilo wakati #Simba ikishinda 3-1 dhidi ya ASEC Mimosas mchezo wa Hatua ya Makundi ya Kombe la Shirikisho Afrika kwenye Uwanja wa Mkapa Jijini Dar es Salaam, Februari 13, 2022.