United ya Ferguson
JF-Expert Member
- Oct 29, 2021
- 3,132
- 6,353
Tuseme akiwa Livepool hakuwa na furaha au haikuwa klabu ya ndoto yake au pesa anayovuta Bayern Munich ndio inamfanya awe na tabasamu kubwa muda wote xaiz mane akifunga unaona kabisa anacheka mfano jana katupia goli mbili muda wote unaona anafurah anacheka na wezake ila ilikua nadra sana kumuona akiwa na tabasamu akiwa livepoor
Kipindi akiwa livepool mara chache sana ungekuta kaonesha tabasumu muda wote kanuna tu hapendi kuchekacheka hata ukute kafunge goli nakumbuka msimu ulioisha aliwafunga arsenal bonge moja mgoli wa kichwa pale anifield afu akaishia kushangilia Kwa kujipiga kifua tu
ila Toka amejiunga Bayern Munich amekua mtu wa kuenyoy tu anapanda had jukwan kushangilia na mashabiki pamoja Kuna mechi ya bundesiliga alipanda juu ya jukwaa akaanza shangilia na mashabiki
sjawah aona kafanya kitu Kam hili akiwa livepoor
Kiufupi mane anawasibithisha livepoor hawajah kuwa furah na maisha akiwa Livepoor ila alikua pale sababu ya Kaz tu
Pia nazan kitu kingne mashabaki wa livepoor walikua na utamudani wa kuimba jina la mo salah tu wakat Kaz kubwa walikua wanafanya wote mara chache sana kukuta sadio mane akiibwa na mashabaki wa livepoor
Hamna kitu nimefurah Kam sadio mane kuondoka livepoor naomba na yule dogo full beki muingireza naye aje aondoke Ile klabu sababu haw ndio walikua mission kubwa ya magoli ya livepoor.