Sadio Mane Toka ajiunge Bayern Munich Kawa mtu mwenye furaha

Umejibu vizuri sana mkuu
 
Ni kweli ila sio kwa rangi, waliamin mo ni influencial figure than mane
 
Mane hajawahi kuwa na performance kubwa kuliko Salah, acheni kukariri wakuu

Some of them wanambeza salah, hawampendi, wanamchukia kutokana na race yake, na huu ndio ukweli wenyewe nauona. Anapofanya vizuri uwanjani wanaumia anapofanya vibaya furaha kwao. Chukulia mfano salah ndio awe Ndidi au lheanacho 😁 usingesikia kelele zote hizo, na wao wanalijua hilo. so hapo kinachomuangusha ni uarabu wake. Very sad,
 
Huu ni uongo

Some of them wanambeza salah, hawampendi, wanamchukia kutokana na race yake, na huu ndio ukweli wenyewe nauona. Anapofanya vizuri uwanjani wanaumia anapofanya vibaya furaha kwao. Chukulia mfano salah ndio awe Ndidi au lheanacho 😁 usingesikia kelele zote hizo, na wao wanalijua hilo. so hapo kinachomuangusha ni uarabu wake. Very sad,
 
Unasemaje wewe tupe ushahid usituandikie2 haitoshii

Some of them wanambeza salah, hawampendi, wanamchukia kutokana na race yake, na huu ndio ukweli wenyewe nauona. Anapofanya vizuri uwanjani wanaumia anapofanya vibaya furaha kwao. Chukulia mfano salah ndio awe Ndidi, saka au lheanacho 😁 usingesikia kelele zote hizo, na wao wanalijua hilo. so hapo kinachomuangusha ni uarabu wake. Very sad.
 
Wengi hawajui Mane hakutaka mkataba mpya tena. Hakutaka hata mazungumzo na Liverpool toka msimu jana mwaka jana 2021. Mane alimwambia hatoongeza mkataba mpya anataka new challange. Fabinho aliongea na Mane akubali mazungumzo na klabu alikataa kuongeza.

Kuliko aondoke bure klabu haikua na la zaidi ya ilichokifanya.

LIVERPOOL WA BAGUZI.
Kuna mchezaji pale Liverpool anaitwa Naby Keita ni muafrika. Huyu jamaa ni injury prone mechi 5 uwanjani mechi 15 wodini. Kuna Joel Matip. Walau msimu jana alimudu 30+ bila majeruhi. Msimu tayar ameshaenda wodini.
Kama ni ubaguzi wangeanza na huyu ambaye hana msaada na kabla ya MANE.

SALAH MCHOYO, MBAGUZI.
Yeye ndiye anaongoza kutoa pasi nyingi za magoli kwa Mane kulinganisha na zile za Mane kwenda Salah.
 

Comment hii iwafikie wenye chuki dhidi yake, na ndio maana salah akifanya mazuri huwaoni, asipofunga au kuassist ndio utawaona wakimnanga vibaya, na wengine kuingiza ubaguzi. Ni upumbafu kabisa.

Ubaguzi bado upo sana, chunguza vizuri utagundua wengi wao ni watu wa vijiweni
 

Naam watu wa vijiweni. Na hawa ndio wale waliosema ni one season wonder.

Kuna mdau amesema race ya Salah (uarabu) ndio chanzo. Nakubaliana nae kwa 99.9%
 
Tatizo Liverpool alikuwa na mnafki karibu yake mbinafsi Mo Salah.
 
Mkuu kwanini unalazimisha sana idea fulani ya jamii iaminike kuwa ipo hivyo kiasi kwamba umepost mara nyingi kumtetea Salah kwa sababu ya nasaba yake?
Why uwe blind namna hii na wewe ni member wa muda mrefu humu ktk mijadala ya kufikirsha fikra na kupanua mawazo? Why unafosi kwa hizo post mada ishift. Please acha hizo. Wengi wanasoma na kupotezea post zako koz zinataka kuupeleka mjadala ktk inshu za race na nasaba za watu ?

Si kwa nia mbaya, please tuepushe na hizo habari.
 
Unasemaje wewe tupe ushahid usituandikie2 haitoshii
salah ni 3 times liverpool player of the season, mane ameshinda mara moja.
salah amefunga mabao 159 katika mechi 259 ndani ya liverpool huku mane kifunga 120 katika mechi 269
salah amefikisha 30 goals kwenye msimu mara 3, moja katika ya hizo akifika 44 goals, mane hajawahi kufika 30 goals a season ndani ya liverpool
salah ameifungia liverpool mabao 34 champiol league huku mane amefunga 24.
salah ameshinda EPL top score mara 3 huku mane ameshinda mara 1
kwa miaka yote waliocheza pamoja saleh amekua ndio club top score kwa kila msimu.
na statistic zote hizi bado mane alicheza msimu mmoja ziada kuliko salah pale liverpool.
 
Ni kweli kabisa unaloongea
 
Maana ya performance kuliko Salah una maaana Gani.? Msimu uliopita nan alikuwa na goli nyingi??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…