Ghazwat
JF-Expert Member
- Oct 4, 2015
- 23,718
- 66,267
Mshambuaji Sadney Urikhob ambaye anadaiwa kuikacha timu ya Yanga kwa kuandika barua ya kuvunja mkataba wake kwa kile kinachodaiwa kutolipwa mshahara wake kwa miezi mitatu, amemtolea uvivu mshabiki wa Yanga aliyesema. "Tumefurahi kwa maamuzi yako kwasababu hukufanya kitu"
Baada ya comment hiyo ya mshabiki wa Yanga, mshambuliaji Sadney Urikhob, ambaye kwa sasa inaelezwa yuko kwao nchini Namibia, akamjibu kupitia ukurasa wake wa Instagram.
"Wewe na klabu yako ina focus kwenye social media na fake branding badala ya kufanya vitu vya maana, mimi sio mtumwa na sitakuja kuwa".