Endelea kuota ndoto za mchanaDah, gongowazi mnatia aibu sana Taifa la Tanzania
Yaani hapo awe kocha ama mchezaji akiambiwa anatakiwa Yanga lazima aanze kujiuliza je nitalipwa mshahara..!
We endelea kuropoka tu,kama vp kamuitie hata pressKwani yatokea na kusambaa hutaki kuamini
Na Zahera katoa wiki moja, asipolipwa chake anapanda juu..[emoji23]
Hii kali sana..funga mwakaVijakazi vya Mhindi vikiwa kazini.
Ama kweli Yanga Babalao.Vijakazi vya Mhindi vikiwa kazini.
Kwahiyo hapaswi kulipwa mshahara wake kwavile hajaonesha kiwango?Me ni mshabiki wa Simba ila niwe mkweli huyo striker hakuna alichokifanya hapo yanga sizani Kama amefikisha hata goal 3 tu japo kacheza michezo mingi hayo maneno alitakiwa aongee ajibu au yule striker mkongo aliyeondoka jina lake nimelisahau ndo wamecheza kwa kiwango kikubwa yanga na wakawa wachezaji muhimu wa yanga hata kuondoka kwao kumeacha pengo kubwa yanga na si huyo mnamibia.
Vipi kuhusu dante na lamine moroMe ni mshabiki wa Simba ila niwe mkweli huyo striker hakuna alichokifanya hapo yanga sizani Kama amefikisha hata goal 3 tu japo kacheza michezo mingi hayo maneno alitakiwa aongee ajibu au yule striker mkongo aliyeondoka jina lake nimelisahau ndo wamecheza kwa kiwango kikubwa yanga na wakawa wachezaji muhimu wa yanga hata kuondoka kwao kumeacha pengo kubwa yanga na si huyo mnamibia.