Nawe nawe. Taaluma ya watu hiyo. Nenda kasome "Law of the Press" au tafuta wajuzi wakujuvye.
...NI MUHIMU PIA KILA MWANAFUNZI NA MWALIMU HAPA NCHINI AKAPATA NAKALA YAKE KILA LINAPOTOKA SIKU YA JUMATANO.
Ni kweli mkuu Sanda.Hongera sana na timu yako. Gazeti la MwanaHalisi la jana (25/08/2010) ni MOTO WA KUOTEA MBALI. MUNGU AZIDI KUWABARIKI. HAKIKISHENI LINAFIKA KILA KONA YA NCHI HII NA KWA SASA KATIKA KILA MIKUTANO YOTE YA KAMPENI.
LAZIMA NIWE MKWELI. GAZETI LENU LINATISHA. NI MUHIMU PIA KILA MWANAFUNZI NA MWALIMU HAPA NCHINI AKAPATA NAKALA YAKE KILA LINAPOTOKA SIKU YA JUMATANO.
Josephat Simon Sabi Sanda
Dar es Salaam
Tanzania
0659 28 19 64
ibaki hivyo hivyo ili wanaotaka habari za leo wanunue gazeti la leo waandishi waendelee kupata mkatePia nawaomba Mwanahalisi wawe wanaupdate website yao kila tole jipya linapotoka kwani huwa wanachelewa na kutukosesha uhondo
kuna wanafunzi zaidi ya millioni moja na walimu zaidi ya laki moja tanzania bara pekee. nakushauri upendekeze namna ya kuwezesha hilo isije ikawa kama ishu ya computer na hao watanzania.
Asante Minda. Tusubiri mabadiliko makubwa katika usambazaji wa Gazeti la MwanaHalisi. Nitawasiliana nao na kutimiza hiyo changamoto uliyoitoa.
eeeh Kumbee...!
Uongo uliotukuka. Labda mji wa mkoa wako tu. Na labda kwa sababu mlichagua maisha bora kwa kila mdanganyika na mkapata the opposite kwa kutokua na miundombinu.pole sana haya magazeti yanasomwa dar es salaam peke yeke
mikoan hayafiki