Saed Kubenea yuko wapi?

Saed Kubenea yuko wapi?

S.Liondo

JF-Expert Member
Joined
Apr 20, 2011
Posts
3,408
Reaction score
1,713
Mwenye taarifa kuhusu alipo Saed Kubenea ambaye amekuwa mwandishi wa gazeti la Mwanahalisi kwa muda mrefu tafadhali anijulishe. Mimi ni mpenzi sana wa articles zake za kisiasa katika Gazeti hilo. Kama anafanya na gazeti lingine tafadhali naombe Kujuzwa ili nifuatilie habari anazoziandika.
 
Nilimekuwa nikiona kwenye Mwanahalisi jamaa akiandika makala kadhaa kutokea Udachini.... Nadhani atakuwa huko kuongeza maarifa zaidi...
 
ashapewa faida ya gazeti ya miaka 25. sasa hivi gazeti linaandikwa na wenyewe under license
 
Saed Kubenea yuko uholanzi akinoa bongo katika chuo kimoja nchini humo. Anachukua diploma ya mass communication and international communication.
 
yuko mtoni anachimbuka, nadhani WDC, jirani na le mutuz
 
saed kubenea yuko uholanzi akinoa bongo katika chuo kimoja nchini humo. Anachukua diploma ya mass communication and international communication.

Hakika na anataraji kurudi nchini mwezi WA Saba, though alipita Uingereza kucheki macho yake kwani ile tindikali ilimuafekti KIASI na waindi wamekua mstari WA mbele kumpiga dozi za gharama so ni Kama anatafuta option nyingine kumaliza tatizo lake hili. Mwanajeshi Yule.
 
Hakika na anataraji kurudi nchini mwezi WA Saba, though alipita Uingereza kucheki macho yake kwani ile tindikali ilimuafekti KIASI na waindi wamekua mstari WA mbele kumpiga dozi za gharama so ni Kama anatafuta option nyingine kumaliza tatizo lake hili. Mwanajeshi Yule.

Wa jeshi gani?
 
Hakika na anataraji kurudi nchini mwezi WA Saba, though alipita Uingereza kucheki macho yake kwani ile tindikali ilimuafekti KIASI na waindi wamekua mstari wa mbele kumpiga dozi za gharama so ni Kama anatafuta option nyingine kumaliza tatizo lake hili. Mwanajeshi Yule.
Jamaa ni jembe la kufa mtu, hakika yeye ndo alianzisha mkiki mkiki ya kuikosoa serikali kwa macho makavu
kabsa bila woga wowote. Hata pale alipoanza kuwekewa mkikakati na vikwazo vya kuweza kufanikisha matakwa yao watawala jamaaa aliendelea kukaza uzi.

Wakamtishia hadi maisha bt jamaa alisimama imara huku akiendelea kuuweka wazi uozo wa serika;li
yetu iliyojaa udhalim kwa kutosha.

Hakika Saed Kubenea nitamkumbuka sn kwa mazuri aliyotufanyia kwa kututoa tongotongo
machoni mwetu.

Maliza masomo yako vyema baba na pona macho yako kisawasawa.

Mungu bariki Taifa letu, Mungu mbarikiKubenea.
 
Jamaa jembe. namisi sana front page ya MH mafisadi na wabaya wake wapo ktk recess. Ngoja arudi na ugwadu
 
saed kubenea yuko uholanzi akinoa bongo katika chuo kimoja nchini humo. Anachukua diploma ya mass communication and international communication.

Mkuu kisima jongoo kama sasa anachukua diploma ya Mass Communication, huko nyuma alikuwa na cheti gani? Au ndio ile habari niliyowahi kuisikia kuwa jamaa elimu iko chini anatumia talanta tu katika uandishi?
 
Last edited by a moderator:
Wa jeshi gani?

La wanamaji.
sikia Kassim Awadh, huyu jamaa ni mmoja kati ya chachu Kubwa katika kuanika Uozo uliokithiri katika Nchi hii......kwani unadhani hadi anamwagiwa tindikali ilikuwa ni Bahati mbaya? Aliingia kwenye 18 za vigogo wachafu WA Nchi hii, thank god alipona na still hakuacha kufichua MADHAMBI Yao. Vp kuna la ziada hapo?
 
Said Kubenea yupo bahati mbaya gazeti la Mwanahalisi linakufa kifo cha kawaida imefika wkt linauzwa kwa kilo maeneo ya Kariako/Msimbazi na Uhuru.
 
Mkuu kisima jongoo kama sasa anachukua diploma ya Mass Communication, huko nyuma alikuwa na cheti gani? Au ndio ile habari niliyowahi kuisikia kuwa jamaa elimu iko chini anatumia talanta tu katika uandishi?

Kaka yangu Kimbunga Tanzania hakuna waandishi wa habari wengi wao ni makanjanja wa mjini tu. Wewe angalia magazeti yetu na aina ya waandishi Tanzania kila muandishi ana malengo ya kuwa kiongozi wa chama.
 
Last edited by a moderator:
Mchuzi wa bata bwana yaani Mwanahalisi limefikia hali hiyo kweli?

Kaka yangu Kimbunga kama unakumbuka vizuri miaka miwili ya nyuma na kipindi cha kampeni za uchaguzi siku ya Jumatano ikifika saa tano asubuhi ulipati gazeti la Mwanahalisi leo siku ya Alhamisi pita kwenye vibanda vya magazeti uone mzigo ulivyojaa.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom