Kv-london
JF-Expert Member
- Jan 24, 2014
- 2,877
- 5,022
Mim ni streetvendor tu wa huku mtaani kwet nimemalza chuo mwaka jana kuna bisness nafkria kuifanya kutoka bongo to south africa
biashara yenyew ni kuchukua hv visandales vya kimasai,necless earring na vile viculture vya kuvaa mikonon vya kike na kiume then nkija bongo narudi na bidhaa nyingne kutoka huko kuviuza hapa tz
1.mtaji wangu ni 4mill
2.sijawah kwenda abroad nchi yeyote
3.sina ndugu huko wala jamaa naenda na my streetmate
4.nimejpanga kutumia usafir wa bus kwenda na kurudi south kuepuka gharama za ndege
Naomben ushaur kuhusu hii safar yangu na biashara yenyew kwa ujumla
AHSANTENI NA KARBUNI MNISHAURI.