Mim ni streetvendor tu wa huku mtaani kwet nimemalza chuo mwaka jana kuna bisness nafkria kuifanya kutoka bongo to south africa
biashara yenyew ni kuchukua hv visandales vya kimasai,necless earring na vile viculture vya kuvaa mikonon vya kike na kiume then nkija bongo narudi na bidhaa nyingne kutoka huko kuviuza hapa tz
1.mtaji wangu ni 4mill
2.sijawah kwenda abroad nchi yeyote
3.sina ndugu huko wala jamaa naenda na my streetmate
4.nimejpanga kutumia usafir wa bus kwenda na kurudi south kuepuka gharama za ndege
Naomben ushaur kuhusu hii safar yangu na biashara yenyew kwa ujumla
AHSANTENI NA KARBUNI MNISHAURI.
Huyo jamaa ako anapajua vizuri sauz?
Kuna sehemu inaitwa Bruma ndani ya Johanesburg,ndo kuna maduka ya hizo prosucts zako.kuna mitaa ya watanzania hapo joberg,je rafiki yako mwenyeji?
Nnaweza kukupa mtu yupo huko atakusaidia.mimi nimeishi huko miaka ya 2003 mpaka 2006*
Yap .... bruma lake ... maelezo. Mazuri haya ni ..... ila mitaa ya hillbrow hakufai
Mim ni streetvendor tu wa huku mtaani kwet nimemalza chuo mwaka jana kuna bisness nafkria kuifanya kutoka bongo to south africa
biashara yenyew ni kuchukua hv visandales vya kimasai,necless earring na vile viculture vya kuvaa mikonon vya kike na kiume then nkija bongo narudi na bidhaa nyingne kutoka huko kuviuza hapa tz
1.mtaji wangu ni 4mill
2.sijawah kwenda abroad nchi yeyote
3.sina ndugu huko wala jamaa naenda na my streetmate
4.nimejpanga kutumia usafir wa bus kwenda na kurudi south kuepuka gharama za ndege
Naomben ushaur kuhusu hii safar yangu na biashara yenyew kwa ujumla
AHSANTENI NA KARBUNI MNISHAURI.
Naomba niwape na option yangu
nyingne ya biasha il mnishaur vyote kwenda south au nibak hapa tz.
kwa hapa tz nafkria kufanya biashara ya kuuza magodoro ambyo kidogo ina
lipa ila kwa slow sana nipe msaada wako zaid nifanye lip hasa
Kwa wakati huu ambao ukionyesha passport ya tz ktk nchi za watu unakuwa umejiingiza ktk kuchunguzwa na kusumbuliwa (na hasa ukiwa kijana) pasi na sababu ya msingi, wazo SA naomba uachane nalo Mkuu!
Sorry 4m Thailand Hiyo ni pamoja na nauli au nauli pembeni..nimevutiwa nayo Hiyo
Kwa wakati huu ambao ukionyesha passport ya tz ktk nchi za watu unakuwa umejiingiza ktk kuchunguzwa na kusumbuliwa (na hasa ukiwa kijana) pasi na sababu ya msingi, wazo SA naomba uachane nalo Mkuu!
Unamshauri aende wapi? manake kaja hapa kuomba Ushauri!
si amesema ana plan B, he may take that!
Kama una 4 mill,tenga chukua 3 mill,njoo Kampala nauli 90*2 = 180,000,magari ya spider,then tenga kama laki 150,000 ya kula na malazi,then tenga 270,000 ya kusafirisha mzigo,the 2.4 mill unafunga mzigo wa mashuka,mablanketi makubwa,mapazia ya kisasa,nguo za kike na mikoba ya kike classic,na bracelets.Utatumia a max of 3 days kukusanya mzigo wako.Kazi utakayokuwepo nayo ni kutafuta wateja bongo,ila kuanzia nenda kwa rafiki zako wa karibu wanaofanya kazi,au wenye kipato cha kati uza cash in hand unless otherwise ili upate pesa ya kurudi fwasta.Kwa mara ya kwaza utafapata faida almost 30 - 50 % ya bei uliyonunulia na pesa uliyowekeza,next time utadoulbe the profit,unaweza kujiwekea kuja after every two weeks if ure smart kupata wateja haraka,unaweza kuanza kwa kutembeza then unafungua kaeneo.Its permanent employeement then utaendelea na kujiwekea NSSF Pia.
Welcome SSEBBO.