Safari kuelekea Simiyu

Safari kuelekea Simiyu

master09

JF-Expert Member
Joined
Aug 12, 2013
Posts
813
Reaction score
561
Leo naanza safari ya Km 1170...DSM to Simiyu.

Saa 9:18 am .....nikipita morogoro.
JPEG_20211222_091806_227904681924152122.jpg
 
Hilux vigo or fortuner hiyo...
usiifate sana hiyo gari ukakimbia hovyo ni hatari hizo gari zinakimbia sana
 
Ungesema mapema ningekupa zawadi umpelekee mwanangu kuna tatoo yangu huko.
 
Nkoi bhagessi..bhageshage du..abhamkaya.

#MaendeleoHayanaChama
 
Nitakuwa njiani tarehe 27 kuelekea huko pia, nitapita chato kwanza kupiga dua kwenye kaburi la Hayati then niingie Simiyu…
 
Back
Top Bottom