Safari kuelekea Simiyu

Hilux vigo or fortuner hiyo...
usiifate sana hiyo gari ukakimbia hovyo ni hatari hizo gari zinakimbia sana
 
Mkuu, unatoka Simiyu unakuja Dar au? Mbona road imekaa kimkoa?
 
Ungesema mapema ningekupa zawadi umpelekee mwanangu kuna tatoo yangu huko.
 
Nkoi bhagessi..bhageshage du..abhamkaya.

#MaendeleoHayanaChama
 
Nitakuwa njiani tarehe 27 kuelekea huko pia, nitapita chato kwanza kupiga dua kwenye kaburi la Hayati then niingie Simiyu…
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…