Safari kutoka Mwanza mpaka Dar

Siku 67 ni miezi miwili na wiki 1,hii ni safari ya kwenda tu,inamaana kwenda na kurudi utatumia miezi minne.

Aisee hapo gharama lazima ilikuwa kubwa sana,sijui ilikuwa inapita barabara ipi?
 
thats means watu walikuwa hawasafiri kabisa. unapoinshi ndiyo hapo hapo.

Likewise, sisi hatuamini kitu hicho ila ndiyo itakavyokuwa miaka 50 ijayo watakaokuwa wanaishi duniani watashangaa sana kuhusu eti foleni asubuhi na jioni maana wao watakuwa wanatumia Drones kwa safari zao za kwenda kazini na kurudi jioni.

Una feed frequency yako, Drone inakujibu kama imepata route yako ama laa, ukipata unapanda kitu hadi home unatua.

Maisha aiseee...
 
Proof...? Ni siku nyingi sana hizoo, acha fix mkuu.
 
Mtoa mada taarifa yako tumeipokea,
Tunataka facts ilikuwaje kuwaje?
If Europeans managed to create above cars in 1920.
Ilikuwaje huku kwetu Dar mwanza siku 67? Hiyo teknolojia ni ya nani ? Coz najua hatuna uwezo wa kutengeneza gari hata la upepo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…