mh bishanga mgomvi ww hahaha! ila ni bonge ya sala me luv t! kila la kher mwaya ktk mahusiano yako mapya jus kp t real n muombe mungu sana atawasaidia!E Bwana muumba wa rehema,mjalie huyu mja wako Eyetyna,apate haja ya moyo wake,e baba Mungu mwepushe na mafisadi wa mapenzi kina Fidel,TF,Aspirin,Kaizer,Rejao na wengine wote,E Baba msaidie mtumishi wako aone njia ya maongofu,aache kuiga tabia za umbea za kina Husn,SL,Smile na wengineo,e Baba mpe ujasiri wa Eliza wa Tegeta,busara na hekima za Faiza foxy,e baba toa mapepo yote aliyorushiwa na Bujibuji,mpe nguvu kiumbe wako asishawishiwe kuonja utamu uliotukuka wa Bishanga akaachika,Eimen!
Huyo mtu ni member humu?
Una wasiwasi wa kuibiwa? Chukua password uwe unachunga pms,lol
Bishanga, Huyu mungu wetu ni mwema sana! Nina uhakika atakuwa ameisikiliza sala yako na kuipokea kwa mikono miwili!E Bwana muumba wa rehema,mjalie huyu mja wako Eyetyna,apate haja ya moyo wake,e baba Mungu mwepushe na mafisadi wa mapenzi kina Fidel,TF,Aspirin,Kaizer,Rejao na wengine wote,E Baba msaidie mtumishi wako aone njia ya maongofu,aache kuiga tabia za umbea za kina Husn,SL,Smile na wengineo,e Baba mpe ujasiri wa Eliza wa Tegeta,busara na hekima za Faiza foxy,e baba toa mapepo yote aliyorushiwa na Bujibuji,mpe nguvu kiumbe wako asishawishiwe kuonja utamu uliotukuka wa Bishanga akaachika,Eimen!
mkwe sina wasiwasi maana mwanao hakuna anachokitaka akakikosa kwangu. Lol.
Bishanga, Huyu mungu wetu ni mwema sana! Nina uhakika atakuwa ameisikiliza sala yako na kuipokea kwa mikono miwili!