Safari mpya,pray for me

Usiache kumshukuru Mungu na kumuomba kwa Mungu mfike mbali na muweze kutimiza malengo yenu.
Nakutakia kila la kheri katika mahusiano mapya.
Mungu awe nanyi!!!!!
 
Nikiwa kama assistant wa spanish lady a.k.a Husninyo, napenda kuwasilisha ujumbe wa msingi sana kutoka kwa babu DC......kuwa usitoe tunda mpaka hapo mtakaposajiliwa, na bwana atakubariki zaidi!!! Amen.
 
saaaaaaafi sana kipipi. Kesho naomba uje home tupate lunch pamoja na kupanga mikakati ya kuokoa wajukuu wa babu DC. Usiniangushe.
 
Nadhani umejichunguza na kujijua, umegundua nini ulikosea na nini ulikosewa na kwa nini. Sasa tulia, cheza nafasi yako kwa ufanisi na mpe na yeye nafasi ya kuonyesha yake. Usiwe na kumbukumbu za kutendwa kwani zaweza kukusababishia kujitoa nusu nusu na yeye akuone feki 'mchezo wa kuoteana". Kuwa mwenyewe dear kama kutendwa kupo tu na kamwe usiogope. Kama ipo ipo tu. Kuomba omba mwenyewe ili ujue unaomba nini. Si umesikia sala za kuchakachua humu JF, Mungu asije akazijibu hizo. Kila la kheri.

Nikiwa kama assistant wa spanish lady a.k.a Husninyo, napenda kuwasilisha ujumbe wa msingi sana kutoka kwa babu DC......kuwa usitoe tunda mpaka hapo mtakaposajiliwa, na bwana atakubariki zaidi!!! Amen.

Ushauri mzuri! Hata hivyo kwa nini usimshauri awe anampa tunda mdogo-mdogo kiasi cha mboga? Niulize kwa nini ? Sababu waweza wakatokea "Viwavijeshi" katikati wakazindua "Utepetunda" kabla ya mlengwa! Hatari ndiyo iko hapo!
 
saaaaaaafi sana kipipi. Kesho naomba uje home tupate lunch pamoja na kupanga mikakati ya kuokoa wajukuu wa babu DC. Usiniangushe.

Wazo zuri sana Husninyo, nimeilipokea kwa moyo wangu wote. Nitafika bila kukosa na wala sitokuangusha, niambie kuanzia muda gani niwe nimefika hapo! Babu DC kanambia hata nikikosa nauli atanipa!
 
Ushauri mzuri! Hata hivyo kwa nini usimshauri awe anampa tunda mdogo-mdogo kiasi cha mboga? Niulize kwa nini ? Sababu waweza wakatokea "Viwavijeshi" katikati wakazindua "Utepetunda" kabla ya mlengwa! Hatari ndiyo iko hapo!

Kwenye katiba yetu hakuna kitu kama hicho. Viwavijeshi wanapatikana kwenye maharage ya mbeya na sio kwa wajukuu wa babu DC!!!
 
Wazo zuri sana Husninyo, nimeilipokea kwa moyo wangu wote. Nitafika bila kukosa na wala sitokuangusha, niambie kuanzia muda gani niwe nimefika hapo! Babu DC kanambia hata nikikosa nauli atanipa!

nakupigia sikupati imebidi nirudi kukujulisha kuwa njo muda wowote kuanzia sasa. Asubuhi nilidamkia sokoni.
 
Kwenye katiba yetu hakuna kitu kama hicho. Viwavijeshi wanapatikana kwenye maharage ya mbeya na sio kwa wajukuu wa babu DC!!!

Absolutely true! U'mahiri wa kucheza na lugha! Nimeipenda!
 
Naomba uniombe na mm jamaniiii....aii weweeeee
 
Naomba uniombe na mm jamaniiii....aii weweeeee
 
asante sana kwa maombi yenu na naamin mungu ameyasikia yale apendayo kuyasikia masikioni mwake na atajibu kwa majira na nyakati azipendazo.
MUNGU AWABARIKI SANA NA AWAPE HAJA ZA MIOYO YENU.
 
Naomba uniombe na mm jamaniiii....aii weweeeee
Ee Baba unajua kabisa kuwa Bishanga hana mke,unajua kabisa kuwa wanawake wote wa mmu wamemkataa Bishanga,Ee Baba nakushukuru kwa kunijalia akaunti nene benki,nakushukuru Baba kwa kunijalia ma credit card ya nguvu mastercard,visa,american express yote yamejaa mihela Ee Baba nakushuru kwa kunijalia nyumba masaki,mercedes benz 600S,saa ya Rolex,Baba nijalie mtumishi wako Bishanga nipate nguvu za kupendwa na Mama Tulli ili hatimaye awe mke wangu wa kudumu,Baba unajua nampenda sana na uwezo wa kumnunulia rav4 ninao na kumpeleka vekesheni Hawaii pia. Ee Baba naahidi nikimpata sitam cheat kabisa.
 
Dah hii sala nimeipenda Bishanga
 
Bila shaka mama t ataingia mikononi kwa hili ombi pia kwa kuwa amehitaji mwenyewe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…