Hii sio utani, ni kweli kabisa.
Juzi mshakji alikuwa anarudi Dar toka Arusha.
Njiani haja nyepesi ukawa umembana sana, kiasi cha kushindwa kujizuia.
Kufikiri harakaharaka akaona muziki uliokuwa unapigwa unaweza ukamuokoa.
Basi akaanza kunesa nesa kufuatiliza mziki ule, huku akiachia haja nyepesi kidogokidogo.
Zoezi likaisha kwa mafanikio kabisa.
Wakati wanashuka Dar, aka-notice watu wanamuangalia kwa sura tofauti-tofauti. Wengine wanamkodolea macho, wengine wanacheka, wengine wanajitahidi wawe mbali na yeye, etc.
Kujicheki vizuri ...kudadeki! kumbe mziki aliokuwa anausikia ulikuwa unatoka kwenye head-phone zake, na watu kwenye basi walikuwa wanasikia mziki wa shuz... lake ...

Last edited: