Safari ya Joe Biden katika Siasa

Safari ya Joe Biden katika Siasa

Wild Flower

JF-Expert Member
Joined
Jul 20, 2023
Posts
378
Reaction score
766
Rais wa Marekani mwenye umri mkubwa zaidi katika historia, Joe Biden, hivi karibuni amejiondoa katika kinyang’anyiro cha ugombea Urais nchini humo

Amejiondoa kutoka na umri na matatizo ya kiafya akisema ni 'kwa maslahi bora ya chama changu na nchi'

Huu ni muhtasari wa maisha ya aliyekuwa rais wa 46 wa Marekani:

Alizaliwa Scranton, Pennsylvania (1942) na kusomea Sheria kabla ya kujiunga na Siasa

1973: Alichaguliwa kuwa Seneta na kuapishwa akiwa Hospitali baada ya kupata ajali ambapo Mkewe wa kwanza na binti yake walifariki

2008 - 2016: Barack Obama alimteua Biden kuwa Mgombea mwenza na baadaye kuwa Makamu wa Rais wa Marekani chini ya Serikali ya Rais Obama

2020: Alishinda Urais dhidi ya Donald Trump, Julai 2024 alijiondoa katika mbio za kuwania Urais katika kipindi cha pili
 
Mbowe akiona hivi sijui anajisikiaje? Mambo ni kupokezana
 
Back
Top Bottom