Safari ya kuelekea Mbeya

Safari ya kuelekea Mbeya

Jum Records

JF-Expert Member
Joined
Jun 30, 2014
Posts
547
Reaction score
554
Wakuu heshima kwenu

Next week nitaanza safari ya kutoka Dsm kuelekea mbeya kwa Rav 4 new model. Lakini hii itakuwa safari yangu ya kwanza kuelekea Mbeya, kama ujuavyo unaposafiri safari ndefu unapata pia nafasi ya kutalii na kujifunza mazingira mapya,

Kwa msafiri mpya wa Mbeya, nisimame vituo gani kwa ajili ya kupata picha nzuri, kuangalia mazingira, kupata chakula nk, unaweza kushare nami jambo lolote ili niweze kufurahia safari yangu mpya ya Jiji la Mbeya.

Ni dereva mzoefu maana huwa natembelea mikoa kama Tanga, Kilimanjaro, Morogoro, Iringa, Dodoma, Lindi, Mtwara ila kwa makazi nipo Dar es salaam.

Karibuni wadau wenye uzoefu na safari ya Mbeya.
 
RAV 4 New Model.
Umeeleweka sana tu mkuu, wala usikonde. Hayo mengine yote ni Perepente tu!! Tumekuelewa!
 
Sidanganyi.... Ukisha vuka mikoa ya wanyalukolo kuingia mbeya basi hakuna Tena kivutio baada ya hapo.... Vivutio vipo iringa msosi makambako panda gari ufike mbeya over
 
Back
Top Bottom