kashaijamakaka
Member
- Jul 22, 2017
- 20
- 40
Kaka kukata tamaa ni dhambi so pls usikate tamaa tuendelee kuomba Mungu
Nenda kwenye vikundi vya maombi hasa usiku kule kuna wadada wanatafuta wenza .. Itakuwa rahisi kuchagua figa unayotaka..kila LA kheri.Wapendwa salamu nyingi sana. Poleni na majukumu na hongereni kwa ufanisi wa kutwa nzima ya leo.
Jamani mwenzenu safari yangu bado sijafanikiwa kupata mke japo hivyo pls kwa wadada ambao mpo seriously naomba tutafutane pm. Sifa za mke nimtakae unaweza kuzisoma kwenye bandiko langu la awali.
Bado naamini Mungu atanijaria mke mwema.
Nawapenda wote.
Sent using Jamii Forums mobile app