Safari ya kutia mguu TCU kesho

Safari ya kutia mguu TCU kesho

Thebony

Member
Joined
Aug 16, 2012
Posts
92
Reaction score
2
Jesho nakwenda kwa ghazabu huko tcu ikiwezekana waniambie kama napata chuo au laah! nimechoka maumivu ya moyo
 
Vizuri manake bila kuonana nao uso kwa uso hawatashughulikia suala lajo ndugu
 
Mkuu utakuwa umefanya la maana,kama vp ukifanikiwa utupeupdates wanasemaje coz huku kijijini nifull mapressure
 
Back
Top Bottom