Marco Polo
JF-Expert Member
- Jan 16, 2014
- 13,538
- 21,664
Nipe details mkuu maana nasikia ile ni Kanda maalum nisije yakanyagaUkifika butiama , siku upande uende tarime (ni karibu) ule nyma choma , ugali mwekndu na kichuri
Ok butiama wengi wao ni wazanaki ,ni kana sub community ya wakury ila wao hawako more aggresive kama wakurya.Nipe details mkuu maana nasikia ile ni Kanda maalum nisije yakanyaga
Karibu Butiama, karibu mkoa wa Mara, kuja huku unaweza kuondoka na basi asubuhi au mchana, utatumia masaa 20 mpaka 22 kufika ButiamaNina safari hivi karibuni kwenda mkoa wa Mara Butiama naomba kujua yafuatayo:
-Je mabasi yanaondoka asbhi saa 12 au muda wowote?
- Safari kutoka Dar mpaka Butiama inachukua masaa mangapi mpaka kufika?
- Sehemu ya kufikia inayoridhisha nikiwa hapo Butiama.
Mabasi ya kwenda Butiama utapanda yale yanayoelekea MUSOMA au TARIME.Nina safari hivi karibuni kwenda mkoa wa Mara Butiama naomba kujua yafuatayo:
-Je mabasi yanaondoka asbhi saa 12 au muda wowote?
- Safari kutoka Dar mpaka Butiama inachukua masaa mangapi mpaka kufika?
- Sehemu ya kufikia inayoridhisha nikiwa hapo Butiama.
Hapana mkuu nitakaa week Moja tu na Wala Haina uhusiano na ajira yyteSidhan kama kuna basi linaenda butiama😀😀😀 (utani) mabasi n mengi ukikosa ya butiama panda ya musoma au tarime na utashukia kyabakar karbu kwa wazanaki mzee.
Karbu katika ajira kiongozi
Umeandika Kwa ufasaha Kila kitu nilichokuwa nahitaji ahsante sana mkuu.Mabasi ya kwenda Butiama utapanda yale yanayoelekea MUSOMA au TARIME.
Yapo mabasi ya HAPPY NATION, ABOOD, JOHANVIA, nk.
Yanaondoka mida unayohitaji wewe kuanzia saa 7 mchana, saa 2 usiku, 12 asbh nk nk.
Nauli Tshs 85,000/=.
Karibu Zanaki/Butiama kwa sasa ni msimu wa Mvua. Hizo stori za ukorofi na ubabe ni vitu vya kusadikika kama stori za mwenye kubeba ng'ombe huko Namanyere.
SGR tia maji mara mnalala porini TRC wakuambie kunguru kakanyaga waya.Ili Usichoke Sana Sana Nakushauri Panda SGR Mpaka Dodoma Lala
Halafu Chukua SATCO Moja Kwa Moja
Hahaa nimekuwa hapo tarime kwa wiki mbili kijiwe kilikuwa Chris pub na MilanUkifika butiama , siku upande uende tarime (ni karibu) ule nyma choma , ugali mwekndu na kichuri alafu unapata demu mmoja wa kijaluo tepe tepe , aisee haiuta rudi tena butiama
Hahah hongera mkuuuHahaa nimekuwa hapo tarime kwa wiki mbili kijiwe kilikuwa Chris pub na Milan
WEE YA NAMANYERE NILIKUWEPO ACHA KABISA HUO NI UKWELI NA SI KUSADIKIKAMabasi ya kwenda Butiama utapanda yale yanayoelekea MUSOMA au TARIME.
Yapo mabasi ya HAPPY NATION, ABOOD, JOHANVIA, nk.
Yanaondoka mida unayohitaji wewe kuanzia saa 7 mchana, saa 2 usiku, 12 asbh nk nk.
Nauli Tshs 85,000/=.
Karibu Zanaki/Butiama kwa sasa ni msimu wa Mvua. Hizo stori za ukorofi na ubabe ni vitu vya kusadikika kama stori za mwenye kubeba ng'ombe huko Namanyere.
Hakika hii taarifa nilisikia zamani RTD na repota alikuwa anaitwa BEN KIKOWEE YA NAMANYERE NILIKUWEPO ACHA KABISA HUO NI UKWELI NA SI KUSADIKIKA
Karibu nipo nakula bia hapa milanHahaa nimekuwa hapo tarime kwa wiki mbili kijiwe kilikuwa Chris pub na Milan
Hiyo kiabakari ndio IPO huko Musoma?Hakuna basi la kwenda butiama...
Shukia kiabakari na upande bajaj/hiace/probox mpk butiama
Ushauri: panda gari mpk musoma alafu ndio utaenda uko butiama