Marco Polo
JF-Expert Member
- Jan 16, 2014
- 13,538
- 21,664
- Thread starter
-
- #21
Ahsante sana mkuu kama nimeweza kuishi vizuri na kobaz bila shida sidhani kama nitashindwa kuishi na wazanaki Kwa week hizi chacheIssue ni kwamba uishi vyema na watu tu mkuu,
hapana, Kiabakari ipo Butiama lakini ni mbali kidogo na center ilipoHiyo kiabakari ndio IPO huko Musoma?
Inayonyunyiziwa kinyesi fulani cha ng'ombe nimesahau jina lakeUkifika butiama , siku upande uende tarime (ni karibu) ule nyma choma
Guest House sh. 10000.Poppy Hatonn Anahitajika hapa.
Ndio kituo. Utakacho shukia ukitooka dar hapo ndo njiapanda yakwenda butiama hapo utapanda mchomoko au bajajHiyo kiabakari ndio IPO huko Musoma?
Hao wanaojua mambo una contact zao mkuu, am not jokingHahah hongera mkuuu
Hali ya hewa nzuri, watu hawafatiliani ila madmeu ya kikurya hayajui mambo labda lijaluo
Kuwa mzalendo kaka!SGR tia maji mara mnalala porini TRC wakuambie kunguru kakanyaga waya.
Aje kufanya nini, ye mwenyewe kapigwa marufuku kule Butiama asikanyage.Poppy Hatonn Anahitajika hapa.
Butiama ni kubwa.Hao wanaojua mambo una contact zao mkuu, am not joking
Butiama hamna warembo boss, napajuaButiama ni kubwa.
Unakwenda wapi?