Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mashindano ya hivi ni bid'aa ata msemaje ila ni uzushi tuuTazama baadhi ya waislamu kutoka Kenya walivyonakili safari yao kutoka Nairobi kuelekea Dar Es Salaam, kuhudhuria mashindano makubwa ya Qur'an yaliyoandaliwa na Al Hikma Foundation.
Link[emoji1427]
ALLAH atuongoze kwa kweliMashindano ya hivi ni bid'aa ata msemaje ila ni uzushi tuu
Watoto wa watu wanafanyiwa kila uchao kisa kashinda ivi mna macho hamuoni,mna masikio hamsikii,mna mioyo haiwaingii huruma ya hawa watoto wa watu wanorogwa kisa watu wajinufaishe kwenye biashara zao kwa mgongo wa dini
Nikija kupata mwanangu kweli nitampeleka ahifadhi qur-an ila sitokubali ashiriki kwenye hivi vitu ata iweje
AmiinALLAH atuongoze kwa kweli