Safari ya kwenda Afrika ya Kusini mwishoni mwa Novemba

Jack HD

JF-Expert Member
Joined
Jan 2, 2015
Posts
851
Reaction score
1,168
Habarini wakuu,

Naomba kuanzisha uzi huu maalum kwa ajili ya kukusanya watu ama mtu ambaye atakuwa radhi kusafiri kwa basi kwenda Afrika Kusini na kwa ajili ya masuala mbalimbali. Idea ni kuchangia gharama especially za malazi n.k

Mimi nimepanga safari yangu kuwa Mwishoni mwa Novemba InshaAllah. Yoyote mwenyewe plan kama hii namkaribisha.

Nakaribisha yoyote mwenye mzigo halali kwenda nao Afrika ya kusini kwa malipo maalum. Narudia Mzigo halali kwa malipo maalum. Nitafikia Johannesburg na Capetown.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…