Safari ya Lissu kuelekea Nairobi ilikuwa ni mateso na vilio, Spika Ndugai usitoneshe vidonda

Kilicho nishangaza zaidi ni jinsi eti anavyowaonea huruma watu wa jimbo la lema!,hivi anatumia akili gani kuwaonea huruma wana arusha kuliko wa huko porini kwake kongwa.kwamba wana kongwa maisha ni mazuri zaidi ya kongwa[emoji23] [emoji23]
 
Mkuu,hata mimi nilipokumbuka jinsi mbowe alivyo ona umuhimu wa yeye kuwahi kwenda kumpa pole.ati leo mashavu yamemvimba na kujiona yeye ni mungu wa bunge
 
Wachana na umalaya wa maneno mkuu, hautakusaidia we we, ndugu zako wala nchi. Weka utu kwanza, haya mengine baadaye
 
Unapomaliza kusoma taarifa kama hii ndipo unagundua kwa nini Tanzania ni moja Kati ya nchi ambazo wananchi wake hawana furaha.
Inatia uchungu sana,kina Ndugai wanalewa sana na haya madaraka ya kidunia
 
sasa kati yako wewe na mbunge ni nani aliyeshiriki kuorganize hiyo flight ya lisu?

wewe umedai umeshiriki indirectly. mbunge anadai kufahamiana na owners hivyo kuwepo malikauli kabla ya flight.

sasa hapo ushiriki wako uko wapi?? unless wewe ndiye mbunge mwenyewe.
 
Vyovyote ulivyooelewa wewe,ndio maana ya ID za humu
Kuna tofauti ya "Directly" na "Indirectly"
 
Kama sio ndugai kulizungumzia hilo nakuhakikishia cdm wangejikausha na ndo maana baada ya kauli ya ndugai wakalipa haraka haraka
 
bunge si mhimili unaojitegemea,kwa nini spika aseme kama waziri akikubali,ina maana wao kama bunge hawana budget ya afya.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…