Safari ya Lissu kuelekea Nairobi ilikuwa ni mateso na vilio, Spika Ndugai usitoneshe vidonda

the narratives are quite informative, yet the wrong, is to focus attack on an individual, which dilutes everything despite good intention.
 
Leo nasikia kaagiza Kubenea akamatwe,ngoja tuone na kusikia
Lakini hao jamaa si mwaka jana walimsifia sana Ndugai kuwa ni mature speaker with sense of humour unlike Dr. Tulia? Labda ni kwa sababu ya upinzani kukosa uongozi hivyo wabunge wa upinzani kutegeme zaidi matukio kutimiza wajibu wao?
 

Kilichonimaliza ni kuwa walikuwa wanamuombea tena kanteen za Bunge, leo lissu kuombew hata kanisani ni dhambi!
 
Lakini hao jamaa si mwaka jana walimsifia sana Ndugai kuwa ni mature speaker with sense of humour unlike Dr. Tulia? Labda ni kwa sababu ya upinzani kukosa uongozi hivyo wabunge wa upinzani kutegeme zaidi matukio kutimiza wajibu wao?

Kumbuka kipindi hiko alikuwa mgonjwa India, sasa huwezi jua nini kimempata India.
Usisahau hata ushindi wake wa uspika ulichangiwa sana na upinzani, japo mimi nilitaka zungu agombee na ashinde
 
Mkuu barafu,nimemsikiliza Mh.Msigwa kwenye Taarifa ya habari Azam Two,kaongea kama ulivyoandika hapo walipokuwa ndani ya ndege,kweli mkuu upo informed sana
 
Naona leo Ndugai dhamira imemsuta,kaanza kujirudi...walidhani Lissu atakufa,lakini sasa wanashangaa anazidi kuimalika
Tulisema ni muda kila kitu kitakuwa wazi,nafsi zitawasuta tu
 
Mjumbe lugha yako ina ukakasi. Spika Ndugai ni mtu mkubwa hapa kwetu tunamwita Mheshimiwa Ndugai, si "Ndugai". Ila wewe ni afadhali kidogo kuliko alivyosema Tundu Lissu: "mwambieni hiyo Magufuli wenu....".
 
Kila utawala huwa una ukomo wake.
Wataulizwa zama zao walizitumiaje?
 
barafu bna .unajuaga kunihuzunisha ila nikikuomba unitoe hapa nchini hata nikawe beki tatu kwa dk slaa huko hutaki.sawa tu acha nife katika udhalimu
wewe Malaya muuaji umeshapata wangapi wa kuliwa na mamba?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…