Safari ya Lissu kuelekea Nairobi ilikuwa ni mateso na vilio, Spika Ndugai usitoneshe vidonda

Sasa tunaweza kujikumbusha na kujua nani alikuwa nyuma ya shambulizi hili.
siku hiyo Kolomije alikuwa maeneo ya karibu tena na escort kali ya gari nyingi masaa machache Nissan nyeupe ilichomwa moto maeneo ya Morogoro na Kolomije kumbe yupo Dar na si Dodoma
eti camera hazioneshi na watoto wa vijiweni walioshuhudia walisambaratishwa
hakuna upelelezi mpaka dereva aonekane kwanza
kitengo kile wameondolewa lakini ndio wanajionesha taratibu Damu ya Mtu itanena
 
.
 
MUNGU amfichi mnafiki sasa waliotaka kumuua Lissu wanaaza kuweweseka na ziara yake ulaya
Na wanataka kuwaaminisha watanzania kwamba Lissu hakupigwa risasi akiwa Tanzania na mbaya zaidi hawataki aseme kwamba alipigwa risasi na hakuna aliyetuhumiwa hata sasa!!! Mungu Ibariki Tanzania
 
Mungu ni mkuu Lissu yu salama sasa

Sent from my SM-A505F using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…