Safari ya Lissu kuelekea Nairobi ilikuwa ni mateso na vilio, Spika Ndugai usitoneshe vidonda

Wakati mwingine kusema kirahisi tu kwamba "historia ni Mwalimu mzuri" bila ya kujikumbiusha ilichofundisha inakuwa siyo sawa.

Hivi tunaweza kweli kusema kuwa hakukuwa na hila ya kimfumo katika kushambuliwa kwa Lissu!?
 
Mungu aendelee kumlaani Job Ndugai, ni zaidi ya shetani.
 
Wakati mwingine kusema kirahisi tu kwamba "historia ni Mwalimu mzuri" bila ya kujikumbiusha ilichofundisha inakuwa siyo sawa.

Hivi tunaweza kweli kusema kuwa hakukuwa na hila ya kimfumo katika kushambuliwa kwa Lissu!?
Viapo vya baadhi ya viongozi,vina siri kubwa sana.
 
Huyu Mtaalam wa mambo ya Aviation hajaonekana tena tangu myakati hizi
 
Inasikitisha kwakweli. Ndugai kila nikimuangalia simuelewi. Yawezekana haamini kama Mungu yupo
Nadhani sasa somo amelipata in a hard way. Spika wa kwanza kufutika kwenye siasa kwa miujiza. Ye mwenyewe haamini nini kilitokea.

MUKU
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…