Safari ya Matumaini ya Simba Sport Club . Yaliyo Mbele na Nyuma ya SSC —Part 2

subirini muone tp mazembe atakavyocheza akiwa kwao lubumbashi. kama mnadhan watacheza kama leo mmenoa, watashambulia mwanzo mwisho
 
Tlipofika me naona ni ushindi tosha hata tukitolewa boco kafunga penat juzi Moro mechi ya mbao kukosa ni kawaida japo kipindi penat inatolewa niliwambia watu pale bandani penat apige Nyoni maana hata juzi staz na Uganda wote akina boco ,samata ,msuva waliogopa Nyoni ndo alipiga

Sent using Jamii Forums mobile app
 

1994 Roberto Baggio kaifikisha Italy WC Final akakosa penalty, Messi akiwa Argentina kakosa penalty Final za Copa America, Etoo amewahi kukosa penalty AFCON na timu ikatolewa, wachezaji wengi tu wanakosa penalty za muhimu na maisha yanaendelea.

Nani hamkumbuki Asamoah Gyan 2010 WC Quarter Finals vs Uruguay baada ya Suarez kudaka dakika ambazo angefunga na mpira ungeisha.

Haya mambo ya kukosa penalty yapo, timu zinakuwa na mpigaji mmoja tu, labda aamue mwenyewe kuacha kupiga ampe mwenzake.
 
Reactions: Tui
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…