Safari ya Messi toka Spain kwenda Paris inafatiliwa mno kwa sasa

Safari ya Messi toka Spain kwenda Paris inafatiliwa mno kwa sasa

Mpinzire

JF-Expert Member
Joined
Jan 18, 2013
Posts
7,503
Reaction score
13,463
Imekuwa maajabu! Ukiingia youtube huko wafaransa wanafatilia mno safari ya Messi huku wakiwa live youtube airport kuanzia Spain mpaka Paris.
 
Hakika hii habari imetikisa sana, unaambiwa Paris watu wmelala airport.
Sisi mapro wa Cr7 tunawachabo mapro wa Mesi kwa mbaali.
 
Wataachaje kufatiria wakati hakujawai tokea mchezaji mwenye mpira wake tokea soka lianze like Pulga!!!!!! Messi na Diego 🙌🙌
 
Back
Top Bottom