Mpinzire JF-Expert Member Joined Jan 18, 2013 Posts 7,503 Reaction score 13,463 Aug 10, 2021 #1 Imekuwa maajabu! Ukiingia youtube huko wafaransa wanafatilia mno safari ya Messi huku wakiwa live youtube airport kuanzia Spain mpaka Paris.
Imekuwa maajabu! Ukiingia youtube huko wafaransa wanafatilia mno safari ya Messi huku wakiwa live youtube airport kuanzia Spain mpaka Paris.
R Ratcha Senior Member Joined Aug 2, 2021 Posts 129 Reaction score 339 Aug 10, 2021 #2 Haijawahi tokea katika soka reaction kubwa kama inayotokea kwa Messi, hakika huyu ndio mfalme wa soka dunia
Haijawahi tokea katika soka reaction kubwa kama inayotokea kwa Messi, hakika huyu ndio mfalme wa soka dunia
NAWATAFUNA JF-Expert Member Joined Nov 14, 2019 Posts 13,284 Reaction score 24,047 Aug 10, 2021 #3 Hakika hii habari imetikisa sana, unaambiwa Paris watu wmelala airport. Sisi mapro wa Cr7 tunawachabo mapro wa Mesi kwa mbaali.
Hakika hii habari imetikisa sana, unaambiwa Paris watu wmelala airport. Sisi mapro wa Cr7 tunawachabo mapro wa Mesi kwa mbaali.
Abu Ubaidah Commando JF-Expert Member Joined Sep 8, 2016 Posts 7,591 Reaction score 6,946 Aug 19, 2021 #4 Wataachaje kufatiria wakati hakujawai tokea mchezaji mwenye mpira wake tokea soka lianze like Pulga!!!!!! Messi na Diego 🙌🙌
Wataachaje kufatiria wakati hakujawai tokea mchezaji mwenye mpira wake tokea soka lianze like Pulga!!!!!! Messi na Diego 🙌🙌