Safari ya miaka 9 tangu kuacha kazi. Hamasa kwa vijana wenye maono makubwa

Asante sana mkuu kwa mrejesho wenye kutia moyo.

Mapendekezo yako ni mazuri sana na baadhi tayari nimeshaweka kwenye utekelezaji. Nitazidi kufanyia kazi yale yaliyobaki.

Uko sahihi kuwa mtu anaweza kuwa tajiri au asiwe tajiri ama akiwa ameajiriwa au amejiari. Mimi kwa upande wangu niliona siwezi kutoboa maisha nikiwa ajirani kutokana na several factors ambazo zilinikabili.

Asante san mkuu
 
Kisa chako ni sawa na kile cha Yona wa Ninawi
Haha haha mkuu umenichekesha sana. But mimi siyo Yona mkuu. Ni kijana tu niliyeamua kuamua hatima ya maisha yangu ma mpaka sasa ni mbaba ninayepambania ndoto zangu.
 
Aiseee,kweli ulijilipua

Mimi naogopa sana haya maisha,siwez jaribu hyo risk tena nikiwa na familia!
Nilijilipua bro,niliumiza ukoo mzima,na kilichofanya niche kazi ilibaki kuwa siri yangu,nililaumiwa na kila mtu,ila babaangu (marehemu baba yangu)alidadisi kwa kina kisa cha kuacha kazi kikatili,nilivomweleza,akaungana nami na kunibariki,maskini alifariki wakati nikiwa ktk harakati za kujikwamua naamin nafsi kama inaongea huko aliko anajua baraka zake za kuacha kazi zilifanya kazi,mama,wife,watoto,Mungu awabariki,ila huyo Iraq boss Mungu anamwoona mbwa mkubwa kuna siku nitamtaja kwani nyuma yangu ameumiza waajiriwa vijana wadogo ajirani,wote naamini hawatamsahau mbwa huyo wa kiiraq wa taasisi kubwa ktk nchi hii
 
Naam
 
Hakika wewe ni mpambanaji mkuu. Hongera kwa kuamini kile unachokifanya. Hakika utafika mbali
 
Fact 🖐️
 
Yan baada ya kusoma TU kunapesa ulikuwa imezubaa kwenye account yangu nimeiwekeza instantly......
 
By summarize.......

Ndugu mwalimu atakuwa bakheresa au Mo dewji kaburini na sio Duniani........
Anaweza kuwa mwalimu akapata faida akawekeza kwenye biashara kubwa yakumfanya awe bakrehesa
 
Nimeshakufahamu na kuna siku tulionana mkoa mkubwa Tz, ni mm pacha ake E
 
Wewe una nia ila kuna vitu vichache kuhusu biashara bado hujavielewa. Jifunze zaidi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…