Safari ya miaka 9 tangu kuacha kazi. Hamasa kwa vijana wenye maono makubwa

Lunatic
hakuna point ya kumu inspire mtu
ulichoeleza ni mateso uliyopitia baada ya kuacha kazi na sio mafanikio
 
Afua za afya za akili zinatakiwa sana ....hasa kwa kipindi hiki cha ukomavu wa sayansi na teknolojia...
 
Umetisha mzee, ni mapambano tu.
 
Upotevu mkubwa sana wa muda wangu kusoma essay yote hii na kukutana na matarajio nisiyoyatarajia..
😑😠😑🀬🀬

...Ni Hayo Tu!!
 
Kuna hii ZABURI 109, inatisha sana.. Imesadifu mistari minne ya mwisho kwenye andiko lako.
 
Uzi ukisoma unapata msisimuko sana ase.

Hongera sana FIGHTER hongera mnoo

Huwa nasemaga "ukimwona mtu ameanzisha biashara yake na ikasimama toa heshima sanaaa"

Baba nakupa heshima yako. πŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™Œ
 
Uzi ukisoma unapata msisimuko sana ase.

Hongera sana FIGHTER hongera mnoo

Huwa nasemaga "ukimwona mtu ameanzisha biashara yake na ikasimama toa heshima sanaaa"

Baba nakupa heshima yako. πŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™Œ

Mkuu nashukuru sana. Tupo pamoja mpambanaji mwenzangu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…