Safari ya miaka 9 tangu kuacha kazi. Hamasa kwa vijana wenye maono makubwa

Sasa wew ndo umeongea ukweli, hata mim nina wazo la biashara kama hyo ambayo itanipa net profit isiyopungua 10k per day niwe na location zaidi ya 100 kwa Tz hapo lengo la uhuru wa kifedha lazima lifikiwe by any means... YES WE CAN! 🤜🏽
 
Miaka tisa ungekua umepanda daraja mara mbili, plus annual increment , ungekua unasoma “M”
Mkuu kusudi kuu la kuacha kazi ni kuwa sitaki kuajiriwa napanga kujiajiri ili nami nije kuajiri....lengo kuu la maisha yangu ni kuwa siku moja nami nimlipe mfanyakazi wangu mshahara wa 1M per month.....I am trying to build a kingdom.
 
Mkuu kusudi kuu la kuacha kazi ni kuwa sitaki kuajiriwa napanga kujiajiri ili nami nije kuajiri....lengo kuu la maisha yangu ni kuwa siku moja nami nimlipe mfanyakazi wangu mshahara wa 1M per month.....I am trying to build a kingdom.
Chifu I truly appreciate your struggle, sema nini next time take calculated risk, the price you paid was too much.
 
Teacher nimesoma andiko lako kwa umakini mkubwa! Ila kuna sehemu umeniacha njia panda! Hivyo nahitaji ufafanuzi wako. Umesema kuna dada yako alifariki, na mtoto wake (mpwa wako) amekuwa akisaidiana kwenye biashara yako na mke wako wa tatu (mwenye elimu ya kidato cha sita)!!

Sasa nilitaka tu kujua huyo mpwa ana umri wa miaka mingapi? Maana mwanzoni umesema wewe ni mtoto wa kwanza kwenye familia ya watoto wanne! Je, na huyo dada yako (mdogo wako wa kike bila shaka) alifariki mwaka gani?

Ufafanuzi tafadhali.
 
Kwa ufafanuz mdogo familia tulikuwa watoto wanne. Wa kwanza ni mwanamke (83), wa pili mwanamke(85), wa tatu mwanaume (88) Mimi hapa na wa mwisho mwanaume(91)...

So. Kwenye bandiko nimejizungumzia kama mtoto wa kwanza nikilenga "mtoto wa kiume"....na hii ni kwa sababu zifuatazo.

Mosi, katika jamii ninayotoka mtoto wa kiume ndiye kichwa au baba familia. Pili, masista hapo juu hawakuwa na maisha yanayoeleweka so nikawa mbeba majukumu ya kifamilia wakiwemo na wao ili kuwatengenezea maisha.

Now: Mpwa kwa sasa ana miaka 24 na hii ni kutokana na dada wa kwanza kujifungua mapema sana baada ya kupata ujauzito katika umri mdogo sana. Asante sana mkuu.
 
Ma
MaNeno meeeengi huku Huna cha maaana hata kimoja,ujinga tuuu.........upumbavu
 
Huu uzi hata kama mtu anataka kuacha kazi lazima aogope akiusoma. Imagine msoto wa miaka yote hyo🤣🤣. Kwanini usingekopa hata Million 10 ndo uache kazi ukiwa na Mtaji wa kueleweka?
Ingekua ngumu kwanza ndo angekufa kabisa, maana experience ya maisha ya biashara alikua hana kabisa
 
Hata mimi nilitaka kusema kama wewe, kama lengo ni kufikia level za ubilionea sio kwa hizo plan alizonazo hata kidogo na hata hazioneshi kumfikisha huko.

NB:The next Mo Dewji won't come from manufacturing industry!! So think BIG
Grow rich au sio?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…