Nimeamua kuandika kwa kiswahili ili kila mtanzania aelewe kaka,asante sana kwa mtazamo wako.Ungeandika day trip ingependeza
Your welcome friend,you will enjoy a lot and having wonderful experience,unforgettable memoriesfine
Ndio,utafika kituo cha kwanza (mandara) utaenda mbele kidogo kilometa moja (maundi crater) then utarudi chini getini ulipo anzia na kuonda,kwa kiasi hicho hautaweza kwenda mbele zaidi ya hapo,Asante na karibu sana.Yani siku moja napanda na kushuka au?......
Yani siku moja napanda na kushuka au?......
Ukifikishwa kileleni unashukaYani siku moja napanda na kushuka au?......